Habri ya jioni wana JF. Mimi ni mwalimu wa science naomba kujuzwa juu ya ajira za walimu maana nimechoka na matamko ya hawa mawaziri wasio na watoto wenye dhiki kama watoto wa wakulima.
kama ni hivyo kwa nini hukutafuta shule za binafsi? kuna kufundisha hata tuition na kuitumia taaluma yako ipasavyo sidhani kama kuwa mwalimu taaluma hutumika kwenye mashule ya serikali pekee.