Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,766
- 14,776
Wauliye yemen wanatua google map ya naniSalaam, najiuliza hawa mfano IDF huwa wanajuaje Millitary target zao sababu hayo ni maeneo ya siri, mfano wamepiga vitu kibao Yemen wanajuaje latitude hii au longtide hii kuna ghala la silaha au kuna tanks za mafuta n.k na hawakosi Shabaha
Unampeleka kote hukoKasome Projectile utaelewa. Mimi sina mda wakukuelezea
2509 kmFor ten hours
Mkuu umempeleka mbali sana kikubwa wanajuaje targets n kupitia mashushu pia nchi kama Israel inabadilishana taarifa za kijeshi na nchi nyingi tu za kiarabu pia wana setilait za kutosha huko angan ku hits ndio inakuja mambo ya PGM apo latitude and longitudeKasome Projectile utaelewa. Mimi sina mda wakukuelezea
Wewe omba tu Video ya Ndugu zake Adiosamigo walivyo pigwa kwa button tu.. Video Israel washaachia maana USA kakomaa vilaza wanaweza dhania USA imehusika...Salaam, najiuliza hawa mfano IDF huwa wanajuaje Millitary target zao sababu hayo ni maeneo ya siri, mfano wamepiga vitu kibao Yemen wanajuaje latitude hii au longtide hii kuna ghala la silaha au kuna tanks za mafuta n.k na hawakosi Shabaha
Muslim mmebarikiwa kuongopa.. yaani kila kitu Allah karuhusu... Kwa imani ya Dini yako ukiongpa sana ndio unakuwa na rank kubwa peponi unaweza kuwekwa karibu na Mtume mbingu za juu zaidi na vijakazi vitoto vingi na Wanawake wa Allah weupe hahi bone marrow unaziona.. its so disgusting hamuoni.. Njoo tukubatize Jesus Loves youHuwa wana bahatisha tu au wawe wamepata vilaza wanawapa infomation, ingekuwa ndege hizo zinaona target US au Israel wangekuwa wanashida vita, bila kusaidiwa π
Jibu reeefu na vijembe viingii lakini uelewa ni ziro au dunguli.Unampeleka kote huko
Geography tu inamtosha kila eneo la ardhi lina mahali ambapo longitude na latitude zinakutana pale kwenye intersection point
Kuwa popote unapisimama au kukaa kuna longitude na latitude inapita juu yako na zinakutana kwenye intersection hapo ulipo rubani anaachia kitu kizito kutwanga hapo kwenye intersection point ulipo na unakuwa marehemu dakika tu
Tatizo wengi hawazingatii masomo utasikiia ohh tunasoma theory latitude na longitude zitatupeleka wapi ? Wastage of time
ona sasa mleta mada alivyo bwege hata hajui hata air force wanawezaje kulenga target
Ndio maana wanaanga wengi lazima Course ya PGM yaani Physics, Geography na Mathematics ipande. Kichwani hasa na mambo ya longitude na latitude yakae vizuri.kichwani na calculations zake za intersection point
Google Earth waliotengeneza ni wao ukiingia waweza ona kila kitu ikiwemo nyumba unapoishi na wakaona hadi vituo vya kijeshi vilipo na kinachoendelea pale hata utumie teknolojia ipi kujaribu kuficha pasionekane wao wanaonaSalaam, najiuliza hawa mfano IDF huwa wanajuaje Millitary target zao sababu hayo ni maeneo ya siri, mfano wamepiga vitu kibao Yemen wanajuaje latitude hii au longtide hii kuna ghala la silaha au kuna tanks za mafuta n.k na hawakosi Shabaha
Huwa nawashangaa sana watu wanapompambanisha mzungu na mchina, kwenye masuala Tech mzungu kitu kingine.Kazi ya Agent wa Aridhini ambapo hapa Agent hupandikiza vifaa vitakavyoongoza Kombora kufikia Tageti yake.
Kazi ya Satelaiti, ambazo baada ya Tageti kutambulika, Satelaiti huliongoza Kombora Hilo .
Kwa Sasa Kuna AI.
Kwa Ufupi, Mzungu ni mtu na nusu.
Kasome Projectile utaelewa. Mimi sina mda wakukuelezea