FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,416
mhhh.....pole sana! hii ndio naisikia hapa!
je kuna uwezekano wa kwend akupima sehemu nyingine (though nahisi ni inaweza leta usumbufu kwako na kwa dada) MziziMkavu and others please come this way help our dada!
Wapendwa hebu nisaidieni juu ya hili...
Binti yangu wa kazi mwenyeji wa Sehemu za Ngara kila nikienda likizo na yeye nampa likizo...
jmos karudi toka kwao akiwa mnyonge na amepungua sana ,nikaomba kujua linalomsibu,
Bila shida akanambia dada nina tatizo
tarehe 4-1-2013 nilipima huko kwetu ikaonekana nimeathirika akaanza kupiga mayowe ..nilitaka kujiua ila mungu tu kanisaidia
Sasa naomba nisaidie twende kupima ili nihakikishe kama ni kweli maana Dr aliyenipima aliwahi kunitongoza sasa sijui labda alikuwa anatania,,nikambembeleza na kumpa maneno ya matumaini mpaka akarudi normal
Ok nikamwambia haina neno tutaenda ..nikamvutia muda
Jana tukaenda Amref akafanyiwa counceling na kumchukua damu kwa kutumia vipimo viwili ..
Kipimo cha kwanza kikaonyesha postive kingine nigative wakaitana na kuamua warudie tena majibu yakatoka vile vile
mmoja akasema hana ,mwingine akawa hana uhakika ,nimeambiwa nimrudishe baada ya miezi mitatu..
Kinachonichanganya mie naenda job asubuhi sana na kurudi jioni sana binti huyu ndo anamwandaa mtoto kwenda shule na kazi nyingine nakosa amani ingawa nimeshamwambia awe makini na kazi zake mpaka hapo atakapocheki tena
Je inawezekana ni mzima?
lakini inawezekanaje kipimo kimoja kiaonyesha postive na kingine negative??

duuuuh mungu awapitishie mbali jamaniJaribu kwenda hosp nyingine ukampime tena.
Hii ya wasichana wa kazi kuwa na hili tatizo imemkuta hata jirani yangu.
dada alikuwa na uvimbe unaojirudia rudia kwenye mguu, japo alikuwa hajawahi kusema lolote kwa mother house,
alipougua last two weeks wakaenda na mama mwenye nyumba tumbi hosp. kupima dada ni mgonjwa tena kinga ya mwili wake imeshuka sana.
Hapo kasheshe nahisi father house naye alishalamba, wakabebana familia yote kwenda kupima, majibu sikufuatilia kwani niliona haitanisaidia.
Kumbuka kuwa kuna watoto watatu, mmoja alizaliwa dada akiwa hapo hapo na wengine ni wakubwa kidogo tu.
Kwa hiyo inavyoonyesha ni lazima waja kazi nao wapitishwe kwa mkemia mkuu ndo wapewe offer.
mpeleke hosptal binafsi nzuri kama 3 hiviWapendwa hebu nisaidieni juu ya hili...
Binti yangu wa kazi mwenyeji wa Sehemu za Ngara kila nikienda likizo na yeye nampa likizo...
jmos karudi toka kwao akiwa mnyonge na amepungua sana ,nikaomba kujua linalomsibu,
Bila shida akanambia dada nina tatizo
tarehe 4-1-2013 nilipima huko kwetu ikaonekana nimeathirika akaanza kupiga mayowe ..nilitaka kujiua ila mungu tu kanisaidia
Sasa naomba nisaidie twende kupima ili nihakikishe kama ni kweli maana Dr aliyenipima aliwahi kunitongoza sasa sijui labda alikuwa anatania,,nikambembeleza na kumpa maneno ya matumaini mpaka akarudi normal
Ok nikamwambia haina neno tutaenda ..nikamvutia muda
Jana tukaenda Amref akafanyiwa counceling na kumchukua damu kwa kutumia vipimo viwili ..
Kipimo cha kwanza kikaonyesha postive kingine nigative wakaitana na kuamua warudie tena majibu yakatoka vile vile
mmoja akasema hana ,mwingine akawa hana uhakika ,nimeambiwa nimrudishe baada ya miezi mitatu..
Kinachonichanganya mie naenda job asubuhi sana na kurudi jioni sana binti huyu ndo anamwandaa mtoto kwenda shule na kazi nyingine nakosa amani ingawa nimeshamwambia awe makini na kazi zake mpaka hapo atakapocheki tena
Je inawezekana ni mzima?
lakini inawezekanaje kipimo kimoja kiaonyesha postive na kingine negative??
Word!A test after three months is the best solution. Sometimes if someone has just got infected it is indeterminant. Some tests come out positive while others are negative when some one has just been infected. Try after 3 months and 6 months for the best results.
FirstLady1 Kipimo hivyo walitumia Methodology au techniques gani? The most accurate so far ni"By Determine & Un-Gold Technique" na apime HIV I and II Antibodies.
KAPIMA KWA KUTUMIA VIPIMO KAMA HIVYO AMREF