HIV na harufu mbaya mdomoni

Mikeyy

Senior Member
Jul 8, 2015
106
35
wadau je kuna uhusiano wowote kati ya harufu mbaya ya kinywa na maambukizi ya HIV/AIDS?
 
We jamaa mzembe sana harufu ya kinyani hutokana na KUTOKA na mmeng'enyo mzuri wa chakula tumboni PIA ambaki ya chakula kinywani ambapo yanaoza na KUTOa harufu
 
wadau je kuna uhusiano wowote kati ya harufu mbaya ya kinywa na maambukizi ya HIV/AIDS?
Ndio..HIV/AIDS kwenye stage za tatu na nne husababisha kupungua kwa kinga ya mwili.Hii hupelekea magonjwa nyemelezi ikiwamo ya kwenye kinywa.Mfano Oral Thrush husababisha kuvimba kwa fizi na hakutokwa vidonda pamoja na harufu mbaya mdomo
 
Back
Top Bottom