Watanzania wenzangu,
Hili la mabenki kuweni makini kidogo, haya mambo ya mabenki yako so... delicate... kwa rumours tu... mwaweza kufanya benki ifilisike... kuweni makeni....
Kuhusu HITS... kwa kweli huenda Orange wakachukua... kumbukeni Orange, wamewanunua Telecom Kenya... na HITS ya Uganda... huenda wasione shida kuingia Tanzania wakamate EAC.
JAMANI JAMANI!nina mdogo wangu amepata kazi hits hivi karibuni.sasa itrakuwaje?
Mtanzania uko kwenye mtandao gani wewe? Tusidanganyane hapa mbona website yao inapatikana tu HiTs Tanzania - Home au wewe unaangalia ipi isiyopatikana mwenzetu?!
Rumours kama hizi za Barclays sio nzuri, zinatosha kabisa kuua benki. Kila mtu akiamua kwenda kupanga foleni pale kudraw hela zake si benki itaclose down jamani??
Rumours kama hizi za Barclays sio nzuri, zinatosha kabisa kuua benki. Kila mtu akiamua kwenda kupanga foleni pale kudraw hela zake si benki itaclose down jamani??
munyamaze... mimi sio wa huko... lakini at least najua bank kubwa ya UK ilikufa kwa sababu ya rumors tu...
Hakuna benki yoyote huku Duniani, achilia mbali Tanzania ambayo... wateja wakiamua kupiga foleni ya ku-withdraw amana zao itaendelea kufanya kazi... hata kwa mwezi mmoja tu.
Kwa hiyo wajameni kwenye field ambazo sio zenu... munyamaze... mimi sio wa huko... lakini at least najua bank kubwa ya UK ilikufa kwa sababu ya rumors tu...
shishye nakuunga mkono.
Shisye
we vipi? kipi bora unataka pesa zetu zipotee, infact ni kwamba Barklay wameyumba kiuchumi na ndio maana wameongeza interest kwa personal loan kutaka 24% mpaka 27%, hapo bado haujajumlisha 2% kama loan appraisal na insuarance fees 1%,
kikubwa watanzania tuchukue taadhari kisijekikatokea kama ilivyotokea miaka 1900s benki ya greenland ulivyofilisika,cha kisikitisha ni kwamba viongozi wetu hawapo makini nimesikitishwa sana na kauli ya mkulu kwamba hathari ya kiuchumi haitatuathiri
Unategemea nini kutoka kwa mkulu, washauri wake wakiwa rookies kama Mwinyimvua; Mkulu alitengenezewa team ya kumshauri na Ndulu wa BOT na sasa Mpango aliyekuwa Ikulu yupo Treasury. Tunarudia yale yale ya Balali akiwa BOT na mshauri wa uchumi Ikulu akiwa Anna Muganda na Treasury ps akiwa MGONJA kijana wa Balali!! Muungwana aamka kabla mambo hayajakupata!!