Hitajio la kiwanja

Hitajio la kiwanja

pangakali 2

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
239
Reaction score
221
Habari wana jukwaa. Ninahitaji kiwanja cha makazi DSM eneo laweza kuwa kuanzia Kimara hadi Standi mpya ya Maili Moja Kibaha umbali kutoka Barabara ya Morogoro usizidi kilometer moja.
 
Ninacho Kibaha misugusugu umbali 2km kutoka Morogoro road bei rahisi sana 1.8m kiwanja cha 20x20. Unaweza kuunganisha hata zaidi ya kimoja. Maelezo zaidi piga 0685401051 karibu sana hata yeyote anayehitaji.
 
Ninacho Kibaha misugusugu umbali 2km kutoka Morogoro road bei rahisi sana 1.8m kiwanja cha 20x20. Unaweza kuunganisha hata zaidi ya kimoja. Maelezo zaidi piga 0685401051 karibu sana hata yeyote anayehitaji
Nitakutafuta mkuu
 
Ninacho atayehitaji kiwanja mwanza ni bonge la kiwanja 4380sqm anicheki tafadhal.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom