Histotechnology

Histotechnology/Histocytopathology ni course nzuri...ila changamoto hapa bongo hospitali nyingi hawafanyi sizani Kama Kuna regional hospital yoyote inafanya ni za Kanda Kama BUGANDO, KCMC, MBEYA, MUHIMBILI na OCEAN ROAD japo zipo chache Sana sizifaham watakuwa wanafanya!! Kama umeshamaliza intern jaribu kutafuta vyuo ufundishe hasa kwa level ya Diploma walimu wa hiyo course hakuna na waliopo wengi hawajui hata wanafundisha nn!!! Binafsi kwa mtu wa lab hasa fresh from school narecommend apige General.. na sio hizo atleast upige Parasitology au Microbiology ambayo binafsi naona ni marketable sana... Hizo ni vizuri wakapiga diploma na at least awe na ajira tayari!!! Kazi utapata tu ila utachelewa au utawahi!!!

Nakutakia kila la kheri!!!

Typed Using KIDOLE
 
Good idea
 
Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…