Target yao wakutane na asec eti..Huenda mashabiki wa timu ya Cr belouzdad leo watakuwa wamelaani sana matokeo ya Yanga dhidi ya Al Ahly ila kibongo bongo hawa ndugu zetu sio wagen tunawajua...
Kwani wewe makolo utawaepukaje majitu ya mtumba? Na al ahly je?Huenda mashabiki wa timu ya Cr belouzdad leo watakuwa wamelaani sana matokeo ya Yanga dhidi ya Al Ahly ila kibongo bongo hawa ndugu zetu sio wagen tunawajua...
Punguza wivuHuenda mashabiki wa timu ya Cr belouzdad leo watakuwa wamelaani sana matokeo ya Yanga dhidi ya Al Ahly ila kibongo bongo hawa ndugu zetu sio wagen tunawajua...
Za ndaaaani, Yanga ndani ya miezi hii 2 imeikimbia Simba mara 2. Yanga wanaona afadhali wakutane na Mamelodi lakini si Simba ya kimataifa, ile Simba ya mpira mkubwa iliyoipiga vibao viwili vya "mtoto shika adabu yako".Huenda mashabiki wa timu ya Cr belouzdad leo watakuwa wamelaani sana matokeo ya Yanga dhidi ya Al Ahly ila kibongo bongo hawa ndugu zetu sio wagen tunawajua, ndugu yangu mkulima wa bamia Kigamboni kaka Yericko Nyerere anawajua vema pia
Fikiria rais wao ameenda pale Misri na kuishia kumwaga sifa tele kwa Al Ahly mlitarajia matokeo ya aina gani? Yaan ukute mmeo anamsifia housegirl usishtuke? [emoji16]
Anyway ila baada ya Yanga kupoteza mchezo wa leo imekuwa nafasi ya pili kwenye kundi, bado inawaeka kwenye hatari ya kukutana na yale majitu ya mtumba Mamelodi sundowns
Tuwaombee [emoji16][emoji16][emoji16]
Simba ipi?! Hii iliyokula mkono?!Za ndaaaani, Yanga ndani ya miezi hii 2 imeikimbia Simba mara 2. Yanga wanaona afadhali wakutane na Mamelodi lakini si Simba ya kimataifa, ile Simba ya mpira mkubwa iliyoipiga vibao viwili vya "mtoto shika adabu yako".
Simba ipi? Hii ya Fred na Babakar?? Haya bhanaZa ndaaaani, Yanga ndani ya miezi hii 2 imeikimbia Simba mara 2. Yanga wanaona afadhali wakutane na Mamelodi lakini si Simba ya kimataifa, ile Simba ya mpira mkubwa iliyoipiga vibao viwili vya "mtoto shika adabu yako".
Umeandika ushuzi 💨 tu hapa.Huenda mashabiki wa timu ya Cr Belouzdad leo watakuwa wamelaani sana matokeo ya Yanga dhidi ya Al Ahly ila kibongo bongo hawa ndugu zetu sio wageni tunawajua, ndugu yangu mkulima wa bamia Kigamboni kaka Yericko Nyerere anawajua vema pia
Fikiria rais wao ameenda pale Misri na kuishia kumwaga sifa tele kwa Al Ahly mlitarajia matokeo ya aina gani? Yaan ukute mmeo anamsifia housegirl usishtuke? [emoji16]
Anyway ila baada ya Yanga kupoteza mchezo wa leo imekuwa nafasi ya pili kwenye kundi, bado inawaeka kwenye hatari ya kukutana na yale majitu ya mtumba Mamelodi sundowns
Tuwaombee [emoji16][emoji16][emoji16]
Mngeongoza kundi mkutane na yangaZa ndaaaani, Yanga ndani ya miezi hii 2 imeikimbia Simba mara 2. Yanga wanaona afadhali wakutane na Mamelodi lakini si Simba ya kimataifa, ile Simba ya mpira mkubwa iliyoipiga vibao viwili vya "mtoto shika adabu yako".
tulia wewe mwakarobo aka kolouzdad aka moxtra fc...Yanga Africa wanataka waiheshimishe nchi,nyie bakini robo kilo yenu sie wale twaruka pruuuuuuHuenda mashabiki wa timu ya Cr Belouzdad leo watakuwa wamelaani sana matokeo ya Yanga dhidi ya Al Ahly ila kibongo bongo hawa ndugu zetu sio wageni tunawajua, ndugu yangu mkulima wa bamia Kigamboni kaka Yericko Nyerere anawajua vema pia
Fikiria rais wao ameenda pale Misri na kuishia kumwaga sifa tele kwa Al Ahly mlitarajia matokeo ya aina gani? Yaan ukute mmeo anamsifia housegirl usishtuke? [emoji16]
Anyway ila baada ya Yanga kupoteza mchezo wa leo imekuwa nafasi ya pili kwenye kundi, bado inawaeka kwenye hatari ya kukutana na yale majitu ya mtumba Mamelodi sundowns
Tuwaombee [emoji16][emoji16][emoji16]
Mpira umeanza kufatilia lini? Belouizdad hawawezi kulaani matokeo ya Al Ahly vs Yanga kwasababu hata Yanga angefungwa magoli 10 yasingessidia kitu kwa BelouizdadHuenda mashabiki wa timu ya Cr Belouzdad leo watakuwa wamelaani sana matokeo ya Yanga dhidi ya Al Ahly ila kibongo bongo hawa ndugu zetu sio wageni tunawajua, ndugu yangu mkulima wa bamia Kigamboni kaka Yericko Nyerere anawajua vema pia
Fikiria rais wao ameenda pale Misri na kuishia kumwaga sifa tele kwa Al Ahly mlitarajia matokeo ya aina gani? Yaan ukute mmeo anamsifia housegirl usishtuke? [emoji16]
Anyway ila baada ya Yanga kupoteza mchezo wa leo imekuwa nafasi ya pili kwenye kundi, bado inawaeka kwenye hatari ya kukutana na yale majitu ya mtumba Mamelodi sundowns
Tuwaombee [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwahiyo unaamini kuwa Yanga anauwezo wa kumfunga Al Ahly ila kafungwa makusudi si ndio?Za ndaaaani, Yanga ndani ya miezi hii 2 imeikimbia Simba mara 2. Yanga wanaona afadhali wakutane na Mamelodi lakini si Simba ya kimataifa, ile Simba ya mpira mkubwa iliyoipiga vibao viwili vya "mtoto shika adabu yako".
Timu imepigwa tano halafu ikimbiwe. Yaani vituko vingine aiseeZa ndaaaani, Yanga ndani ya miezi hii 2 imeikimbia Simba mara 2. Yanga wanaona afadhali wakutane na Mamelodi lakini si Simba ya kimataifa, ile Simba ya mpira mkubwa iliyoipiga vibao viwili vya "mtoto shika adabu yako".
1-5Za ndaaaani, Yanga ndani ya miezi hii 2 imeikimbia Simba mara 2. Yanga wanaona afadhali wakutane na Mamelodi lakini si Simba ya kimataifa, ile Simba ya mpira mkubwa iliyoipiga vibao viwili vya "mtoto shika adabu yako".
Za ndaaaani, Yanga ndani ya miezi hii 2 imeikimbia Simba mara 2. Yanga wanaona afadhali wakutane na Mamelodi lakini si Simba ya kimataifa, ile Simba ya mpira mkubwa iliyoipiga vibao viwili vya "mtoto shika adabu yako".