jukwaa nahitaji sababu za maana. itikadi ya vyama iwe pembeni. katika siku ya mapinduzi Zanzibar kuna bendara ya taifa hilo inapepea. nataka kujua logic ya bendera hiyo kupeperushwa ilhali sasa hivi Zanzibar ni sehemu ya tanzania na pia kwa nini vigezo hivyo vilivyotumika kuipeperusha isitumike kupeperusha bendera ya tanganyika. mfano mzuri ni nchi ya marekani ambapo majimbo yote yanapeperusha bendera ya nchi ilihali zilikuwa na bendera zao kama nchi.
mwenye kukagua jeshi huwa ni mkuu wa majeshi. kwa nini kikwete hajakagua majeshi? anayebisha kuna double standard alete vielelezo thabiti bila kumung'unya maneno
busara na elimu thabiti vichukue hatamu.