Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
namba 2 mmh!
Sent from my blackberry 8520 using jamiiforums
Imefanyaje?Namba 2 mmh!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
...ongeza na hii "wanaume wote ni sawa,baba mmoja mama mmoja"...
7. HATUWEZI KUZAA
Kuna wapenzi ambao kwa kuishi miaka mitatu au minne pamoja bila kupata mtotohufikia kwenye fikra kwamba hawawezi kuzaa. "Mmm, mwaka wa nne umepita bilamtoto, nadhani sisi hatuwezi kuzaa."
Kwa nini msizae? Hizo ni fikra zako, hamjaambiwa na daktari sasa iweje uwazehivyo? Jipe moyo kwani kuna watu walizaa baada ya miaka kumi, iweje ninyi wamwaka mmoja?
Mi kwa upande wangu ua NAJIEPUSHA kabisa na visababishi vya hcia mbaya ka vle CM YAKE,FKRA HASI,KUHOJHOJ,TAARIFA mf.kabla cjafika nyumban namtaarifu kuwa NAKARIBIA KUFIKA,,,,,,,,,,,,,,,,,,,N BORA NIJIDANGANYEDANGANYE TU KWAN NIKIJUA UKWEL ITANIUMA JAPO,,,,,********
Hii hisia namba saba imewakumba wengi sana. Wenye imani za kidini hukimbilia kwenye maombi, wale wenzangu na mie hukimbilia kwa waganga wa kienyeji na wale ambao hawako huku wale kule saa nyingine hukimbilia kwenda kuzaa nje ya ndoa au kuikimbia ndoa kabisa!!!
Sina uhakika na sababu za matatizo ya kuchelewa kupata watoto kwa nyakati hizi za sasa, ila nimeona ni vyema kuwa makini na sababu yeyote ile ambayo itatajwa kwamba inachangia kukua kwa tatizo hili siku hadi siku. Kuzaa nje ya ndoa au kuikimbia ndoa mara nyingi si suluhu, bali huongeza machungu na hasira ndani ya familia.
hisia nyingine ni za kweli na pengine umethibitisha labda kwa kufuma mesej za mapenzi kwenye simu ya mpenzi wako.. sasa tutazikwepa vipi hisia za kusalitiwa ilhali dalili zipo wazi?
nakubaliana nawwkujihisi muhimu loh kwani mmekutana meno 32 mdomoni utajiassure vp ww ndo umefika kuliko wote aliowaona,ukibweteka ndo utajikuta na manyoya kuku kaliwa.