Mkuu vioo vya led inch 32 huwa n 250/300 sasa kwa iyo 55 andaa mpunga mrefu maana izo tv thamani yake ipo kwenye kioo,au ingia dukani kabisa chukua mpya
Tafadhali naomba msaada wa kupata fundi au mahali ntakapoweza kubadili kioo cha hisense tv 55'..nakaribisha ushauri
Natanguliza shukraniView attachment 845674