Ya mwaka gani? Na imetembea km ngapi? Na ni nzima kiasi gani? Iliwahi kupata ajali? Au inatatizo lolote la kiufundi, hebu toa maelezo zaidi. Natafuta sana gari ya aina hiyo? Na ikiwezekana tuwekee picha tuione.

Ngoja niende show room...
Odometer reading 321,000.
...
Nenda ila kuna mtu aliniambia kuna jamaa kazi yake ni kurudisha odometer reading nyuma kwa malipo ya Tshs 50,000.00. Mimi nilikataa dhamira yangu haipo hivyo bora kuwa mkweli. LN 107 hazitengenezwi tena kama ipo barabarani miaka yote hiyo unatarajia nini? DD za kisasa sio nzuri kwa off-road operations. kama nilivyosema ni nzima inatembea.Ngoja niende show room
gari hizi ni imara sana, zinahimili mikiki mikiki.....na zina nguvu!!!