Pamoja na mamlaka kuongezewa meno (sheria ya makosa ya mitandao) haya mambo yanazidi kutamalaki.
Makosa ya kimtandao yanahitaji weledi wa hali ya juu katika uchunguzi na uendeshaji wa mashtaka. Elimu kwa wahusika, hasa hapa bongo, bado ndogo sana ukilinganisha na jinsi mambo haya yanavyohitaji utaalam.
kwa kifupi wahusika/mamlaka bado iko kwenye analojia, kitu ambacho ni vigumu kudhibiti matatizo ya uhalifu wa mitandao.