Hili Nalo ni Tatizo?

mtoto mdogo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
501
Reaction score
130
Wakuu Hili ni Tatizo?
Nipo Na mpenzi wangu. Hajawahi hata siku moja Kuniomba mchezo Yaani hadi mimi nijisikie ndio niombe,.Nashindwa kumuelewa. Pia anaonekana hana hamu kabisa . Nifanyeje?
 
Kwn ukimuomba utapungukiwa nn labda? Cha msingi awe anakupa tunda tu inatosha!! Me nkazan ukimwomba huenda anakunyima?
 
Wengine ni aibu tu! Au malezi kua mwanaume ndo kiongozi and all.! Usilifikirie saana
 
Wewe unamgugusa tu!
Siku akipata wa kumgegeda, utakuja na uzi huu;
"mpenzi wangu hataki kabisa kunipa mchezo siku hizi"
Kwa hiyo niongeze utundu wapi? Nikipiga kimoja hataki tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…