Hili nalo neno

Ni kweli,mtu anajidai ana kazi nzuri,ana piga mizinga watu,anapenda muda wote awe na maisha makubwa huku wazazi wakiwa na maisha ya ajabu kijijini.kuna watu humu wazazi wao inawezekana hawataona wajukuu zao/ wanaoweza kuwasimulia wao walikuwa wanaishi vipi,
Ukiwajali wazazi utaishi miaka mingi,mtu anasahau hata kwao walikuwa wanaishi vipi,jamani,ukijua hali ya nyumbani utakuwa mstaarabu sana sana kwa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…