Hili linakera sana!

sweet poison

Senior Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
104
Reaction score
15
Mara nyingi nimekuwa nikihangaika na dish langu kuzitafuta chanel za Tbc na star tv lakini sizipati.wajua mi npo interior sana,km wamebadili frequency naomba anayefaham anitumie thnks
 
acha kutuaibisha bwana,kuliko kupata hizo channels bora utafute eatv! hayo mastations ni majanga ndugu yangu! yaani ni full chama tawalaism!
 
Kama hizo chanel zimepotea kwenye dishi lako wala usizitafute kwa kuwa hazina mpango. Pia kama hofu yako ni kuangalia LIVE bunge la katiba,kuna tetesi kuwa ch.zote za bongo zitaonyesha bunge hilo LIVE bila chenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…