Hili la Polisi Tunaelekea Wapi?

Nairobian

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
873
Reaction score
2,283
Watanzania hali inazidi kuwa mbaya, polisi wanaua kila kona, njia ya Airport wamejaa kama utitiri wanakusanya mapato. Hali ni mbaya unatoka ndani ya airport wanakudaka, yaani magari ni mengi, watu wanalalamika kupitiliza
 
mlipe faini ndio utaratibu wa kuongeza pato la taifa
 
The government is milking its people in the name of serving people. They are demanding more milk from a milk-less cow
 
View attachment 596124 Watanzania hali inazidi kuwa mbaya, polisi wanaua kila kona, njia ya Airport wamejaa kama utitiri wanakusanya mapato. Hali ni mbaya unatoka ndani ya airport wanakudaka, yaani magari ni mengi, watu wanalalamika kupitiliza

Mkuu ili shati linyooke inabidi uliunguze. Breaking eggs to make an omelette philosophy🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…