Hili jambo lilifanya tuachane na mpenzi wangu kwa maumivu, mpaka leo nimekuwa hivi

Ha ha ha.... Maskini tuna shida yaani unaweza jikuta unamchukia tajiri bila sababu.au sababu ya kipumbavu tu kuwa a anunuaje embe tsh 2000 wakati embe ni tsh 500? Na wakati mwingine ukimsikia tajiri anasema zile mil 100 zitume kwenye account yangu ya matumizi.ukiwa na demu wako unaaanza mpondea jamaa kuwa anajifanya mambo safi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ni wivu tu.

Range rover ya kiduku lilo isiwaumize wenye vifaa vya usafiri kama IST,Carina,vits,Rav4, n.k kama wewe huna usiamini wote watakuwa hawana.
MASIKINI TUJIFUNZE KUKABALI KUBARIKIWA KWA MWENZAKO KUNAONGEZA NEEMA KWAKO PIA.
 
hizi bado sijaamua kuuza mkuu.some days ago nliuza ford ranger wild track.nikawa nimenunua JEEP. nikiwa tayari kuuza ntakwambia ndugu yngu.au nikienda UK kama utahitaji naweza kukuunganisha na jamaa zangu wanakuuzia kwa bei nzuri sana.tena unapata gari haijavuka hata kms 20,000. ni kama mpya kabisa.

Ila Mkuu umezungumza vyema ni bora kujali Afya mapema wanasema, KINGA NI BORA KULIKO TIBA,

Mkuu nahitaji iyo Range Rover yako tuongee Bei Pm
 
Uko Vizuri
Wenye ndoa zetu tupambane kuwashughulikia wake zetu vyema na Mungu atulinde!
 
Natamani ningempata mtu wa namna yako, ila ndo ivo kwenye miti hakuna wajenzi.
 
Kuna post ukisoma unachoka na unaingiwa na uvivu kuchangia. Haya Kiduku Lilo
 
Na mimi unishtue mkuu! Nataka iyo kitu ukitaka kuuza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…