Hili jambo hufanywa na wanawake wote au ni power of nature?

Fix tu, udhani Kuwa alikumic saana na huko alikokuwa hakufanya..... Janja yao tu....
 
Ofcoz bro,
 
Ni lazima umpe maana ndicho kilichowafanya muwe pamoja. Mengine ni ziada tu.
 
Sio lzm ukitoka safari ufanye hilo tendo,hivi tufanye umetoka Kigoma/Bukoba kwa basi,ukifika tu hom unaweza kuomba mechi?
 
.
Hii suala la kupeana unyumba mara baada ya kurudi safar hata kama ni ya siku moja ni power of nature au nini?
Ni kule kumisiana, it means safari yote alikuwa anakuwaza. Na ni taswira njema kuwa hakuwa kwa mchepuko.
 
Sio lzm ukitoka safari ufanye hilo tendo,hivi tufanye umetoka Kigoma/Bukoba kwa basi,ukifika tu hom unaweza kuomba mechi?
Kha!!! Tena ndio inatoa mchoko na stress zote za safari... Inasuuza akili ili upumzike vyema...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…