Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

Msijifu wakati tu muda mwingi mna-undo hilo drafti. Halafu msilibanie muda wakufikiria mkajipendelea nyinyi. Kama wewe unatumia maximum sekunde 15 kufikiria basi na drafti liseti muda kama huo, hapo sasa ndo utajijua kama kweli ni bingwa au la. Japo kiuhalisia hata ukilifunga drafti hili kwa ku-undo wewe bado mkali.
 

Umemalizia vizuri, maana nilitaka kuuliza kama umemfunga kwa undo.
 
Kwakweli hata mm nimewahi kulishinda mara 3 mengine kama 100 nimechezea kipigo na kama 20 hivi nimeambulia sare.

Maana duhhhh linapiga hesabu za mbaliiii , ukiona linakupa kete ya bure usifikirie kabisa kuwa eti umelibana jua kipigo tayari.
 
bado napambana lakini nashindwa kabisa kumfunga.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…