Mkaa Mweupe JF-Expert Member Joined Jun 29, 2007 Posts 654 Reaction score 187 Jan 20, 2010 #1 Siku za karibuni ni rahisi kusikia kwamba "Askari wetu wamefanikiwa kuwauwa Majambazi kadhaa katika tukio la kurushiana risasi ila tunashukuru hakuna Askari aliyejeruhiwa" Ukweli utathibitishwaje?
Siku za karibuni ni rahisi kusikia kwamba "Askari wetu wamefanikiwa kuwauwa Majambazi kadhaa katika tukio la kurushiana risasi ila tunashukuru hakuna Askari aliyejeruhiwa" Ukweli utathibitishwaje?