Dunia inaongozwa na wanaume wanotimiza maandiko( Jesus) na wanaume wanoumizwa na Maandiko ( Yuda). Trump ndio mwanaume anaeipeleka dunia kwenye msingi wake, wengine kama wapalestina, russia, China, ulaya, waarabu ni makwazo madogo madogo tu. Kiufupi Israel na Marekani (USA) ndio hesabu ya Mungu, wengine wana hiari kufuata upande wa Israel (baraka) au upande wa Waarabu(laana). Hakuna mshindi zaidi ya Israel hapo, poleni watoto wa Hajra Mmsiri.