Hii vita kwakweli inamambo mengi nyuma ya pazia, kuna mahala wanatueleza lakini kuna kingine kigumu zaidi kinacho piganiwa hapo. Kibaya ktk hivi vita kunawatu wanateseka na kuumia sana na kupata vilema sababu ya mikataba flani flani waliyo ifunga kwa masalahi ya wakubwa wenyewe, tumwombe Mungu yaishe hayo.