DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 271
Duh kweli umevamia fani...APPLICATION SOFTWARE huzijui????Computer inatumia apps?
Sent using samsung galaxy grand prime pro
Pole mkuu.Msaada wadau natumia laptop yenye Windows 8.1 pro mwanzoni nilikua napata antvirus yenye serial keys ( AVG) ambayo Ilikua strong sana. Lakini hivi sasa wameficha keys zake hivyo napata ya mwezi tu..
Tatizo lililonikumba ni kwamba apps zangu zote ambazo sijaziinstall zimekuwa 0KB na ambazo nimeinstall kila ukifungua inaandika "WINDOWS CAN'T OPEN THIS APP"
Hapa naona mambo yameniendea kombo kabisa msaada wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
ndiyo , apps = applicationsComputer inatumia apps?
Sent using samsung galaxy grand prime pro
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]ndiyo , apps = applications
android apps
windows apps etc
umepaisha penati mzee baba 😀😀😀[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Sent using samsung galaxy grand prime pro
Yaan ni balaa. Niliandika nikiwa nimefumba machoumepaisha penati mzee baba 😀😀😀
Msaada wadau natumia laptop yenye Windows 8.1 pro mwanzoni nilikua napata antvirus yenye serial keys ( AVG) ambayo Ilikua strong sana. Lakini hivi sasa wameficha keys zake hivyo napata ya mwezi tu..
Tatizo lililonikumba ni kwamba apps zangu zote ambazo sijaziinstall zimekuwa 0KB na ambazo nimeinstall kila ukifungua inaandika "WINDOWS CAN'T OPEN THIS APP"
Hapa naona mambo yameniendea kombo kabisa msaada wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah katungua minazi halafu unfortunately amekuwa wa kwanza ku-post jamaa nae faster akamkoti ambapo hata akisema akabadilishe alichokiandika hawezi kitatembea na post ya jamaa.umepaisha penati mzee baba 😀😀😀
HiZo zimeliwa na viruses haziko kwenye zip file hadi atunie WinRARPole mkuu.
Hizo programs umezisave kwenye laptop au external HDD/flash?
Ushauri wangu jaribu kuzikopi kwenye external HDD/flash(kama zipo kwenye comp) halafu ujaribu kuzifungua kwenye computer nyingine(ikiwezekana windows 7) kwa kutumia winrar.
Winrar inafungua hata mafile ya kawaida.HiZo zimeliwa na viruses haziko kwenye zip file hadi atunie WinRAR
Sent using Jamii Forums mobile app
ambazo zimepona ni zilizo zipped so zingine ndo zishakufaHiZo zimeliwa na viruses haziko kwenye zip file hadi atunie WinRAR
Sent using Jamii Forums mobile app
Computer inatumia apps?
Sent using samsung galaxy grand prime pro