Hujawahi kusoma kitabu cha hadithi au kuangalia tamthiliya kwenye TV na ukaona huruma wakati unajua kabisa kuwa 100% ni fiction. Tatizo hapa ni kuwa walengwa wenyewe sasa ni watoto halafu I doubt kama wote watakuwa wanaelewa kuwa huo ni utani! In a similar, anaweza akitania ki-urafiki na siyo lazima awe harsh, na ndiyo atawafurahisha zaidi watoto!mze huna utani wewe eh...?
Hivi bongo tuna sheria za haki za wanyama? Siruhusiwi kumkemea ng`ombe?Mtazamo wangu ni kuwa haki za wanyama zinakiukwa na si za watoto. Kwani kale ni kambwa na sio katoto.
Mimi sisemi, mtoto wangu has been complaining that Scooby Doo, anapigwa kila wakati! Nimebaki kumwambia tu, ok, you've been watching Masanja tena!