Hiki akifanyacho Jonathan kina busara?

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Wana wa bodi habari zenu .
Hivi karibuni Baba wa kaya kule Nigeria Bw. Goodluck Jonathan with his regimes wameomba peace talks na Boko Haram .

Chagizo chocheo la kupelekea legal Government kuomba mazungumzo ni wale wadada 200 waliotekwa na vijana wa Abubakar Shekau.

Navyojua mimi Boko Haram ni Rebal (hilo halina ubishi)
Nini mantiki ya kuomba peace talks na rebal kama sio kusarenda ?
Hadithi ya RENAMO na FRELIMO haiwezi kujirudia na hapa?

Jonathan yuko sahihi ? Au kuna yaliyo nyuma ya pazia hatuyajui ?

Nakumbuka zamani nikiwa "kijana m'bichi" (lakini sio kwa maana hiyoo! Mnayoifikiria nyinyi)
Ilikua ukileta tu jamvini suala kama hili , basi haipiti nusu saa ushapata majawabu .
 
Mazungumzo mezani ndio utatuzi wa vita!Hata marekani sasa wanaitambua TALEBAN
 
Sio mara zote nguvu za kijeshi/kivita zinaweza kumaliza migogoro...busara ni silaha kubwa kuzidi hata haya mabomu ya nuclear!
 
Sio mara zote nguvu za kijeshi/kivita zinaweza kumaliza migogoro...busara ni silaha kubwa kuzidi hata haya mabomu ya nuclear!

Kwa comment hii ni uthibitisho Jf wenye wisedom hamjaisha , kama ambavyo nilikua nikidhani .
 

Let the cry their own cry, we have alshaabab and they have boko haram.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…