Hiii Michepuo itatumaliza na kutuacha wengine na BP

Hilo joka mwanamke
Ukisikia Jini Mahaba ndio hilo Ni Jini Joka linalojifananisha na Sura ya kibinadamu ukikutana nalo njiani linajifanya ni Mwanamke Mrembo na mzuri kupita wote. Mtongoze uone cha mtema kuni. Jamaa amelitongoza Jini likamchukuwa kumpeleka nyumbani pake ndipo hapo porini hilo Jini linafanya mapenzi na Mwanamme wa kibinadamu NAPITA
 

Yawe yanatokea kule Maeneo ya Sinza kwa wadada poa yajifanye machangudoa siku mbili tu wanunuzi wa bidhaa wanapotea wangekuwa wanapatikana ningewaandikia mpango kazi ili wautekeleze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…