umeona usafi WA leo
niliikuwa najiuliza tu mkuu. nikicheki wabongo tunavyonunua used za mwaka 2000 sijui itachukuua muda gani kuafford hiyo mashine.Nenda pale NISSAN Tanzania unaweza zikuta. Wale huwa wanaleta magari kwa ajili hasa ya corporate customers. Huenda wakaileta. cKu hizi wako pale opp na Maktaba square...
Nenda CMC Automobiles kawaulize ila kifupi ni kwamba zipo tayari kwenye barabara za Tanzania
Mkuu mbona zipo kuna dalali wa viwanja namanga katika ghorofa pale karibu na edo chips amaimiliki hii Hybrid xtrail mkuu anaitwa Mziray watu wabishi mkuu!
Usipate shida mimi ninayo Qashqai , ikiingia hiyo ninayo, tena zina fanana.niliikuwa najiuliza tu mkuu. nikicheki wabongo tunavyonunua used za mwaka 2000 sijui itachukuua muda gani kuafford hiyo mashine.