Ududu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 1,020 Reaction score 556 May 31, 2017 #1 Naombeni ufafanuzi wadau... Hii imekaaje?
Mwana Kwetu JF-Expert Member Joined Jul 12, 2011 Posts 652 Reaction score 607 May 31, 2017 #2 umeiona wapi?
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 41,027 Reaction score 47,161 May 31, 2017 #3 Kivipi, ndo kwanza naisikia hapa
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,931 May 31, 2017 #4 Ameona issue ya tigo kaja naye kuanzisha yake.
mbarika JF-Expert Member Joined Apr 1, 2015 Posts 7,708 Reaction score 10,412 May 31, 2017 #5 FRANCIS DA DON said: Kivipi, ndo kwanza naisikia hapa Click to expand...
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,189 Reaction score 128,283 May 31, 2017 #6 edited hiyo
anointinginmotion Member Joined May 25, 2017 Posts 33 Reaction score 19 May 31, 2017 #7 Hili tangazo la halotel kama siyo edited, basi TCRA waamke sasa, maana tunakoelekea ni kubaya!
Erickford4 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 1,131 Reaction score 1,099 May 31, 2017 #8 Hilo tangazo hata mi nimeliona likizunguka kwenye mitandao mingi tu sanasana whatsapp lakini bado sijajua ukweli wa Tangazo hilo maana hata kwenye redio silisikii... Ngoja wahusika waje
Hilo tangazo hata mi nimeliona likizunguka kwenye mitandao mingi tu sanasana whatsapp lakini bado sijajua ukweli wa Tangazo hilo maana hata kwenye redio silisikii... Ngoja wahusika waje
Galapagosi JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 2,848 Reaction score 2,640 May 31, 2017 #9 Weka utiwe buku mkuu
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,110 May 31, 2017 #10 watu wametengeneza na si kweli
New Nytemare JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 3,450 Reaction score 2,683 May 31, 2017 #12 edited