Mr mutuu JF-Expert Member Joined Jan 27, 2023 Posts 2,878 Reaction score 14,726 Mar 1, 2024 #2 , Hio picha ya pili ni mchezaji wa epl nadhani Everton kama sikosei, hata huo mpira una logo ya epl.... Wachezaji wengi ulaya wameanza kuvaa hizi socks zenye mashimo wanadai zinaongeza mzunguko mzuri wa damu kwenye miguu Yao.... Haya huyo hapo bukayo Saka wa arsenal Elimu elimu elimu
, Hio picha ya pili ni mchezaji wa epl nadhani Everton kama sikosei, hata huo mpira una logo ya epl.... Wachezaji wengi ulaya wameanza kuvaa hizi socks zenye mashimo wanadai zinaongeza mzunguko mzuri wa damu kwenye miguu Yao.... Haya huyo hapo bukayo Saka wa arsenal Elimu elimu elimu
Interlacustrine R JF-Expert Member Joined Jan 22, 2022 Posts 8,149 Reaction score 15,960 Mar 1, 2024 #3 Usishangae Makolokolo wakakwambia ndiyo fasheni ya kisasa, Mbumbumbu ni Mbumbumbu tu daima. Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Usishangae Makolokolo wakakwambia ndiyo fasheni ya kisasa, Mbumbumbu ni Mbumbumbu tu daima. Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
gammaparticles JF-Expert Member Joined Jan 9, 2024 Posts 1,406 Reaction score 3,888 Mar 2, 2024 #4 Masikini huwa unawaza kuwazodoa masikini wenzake, Wakati mwingine anapitiliza na kufananisha anayoona kwa masikini wenzake yametokea kwa tajiri
Masikini huwa unawaza kuwazodoa masikini wenzake, Wakati mwingine anapitiliza na kufananisha anayoona kwa masikini wenzake yametokea kwa tajiri
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,157 Reaction score 138,318 Mar 2, 2024 #5 Chuki na ignorance na ignorance zimeshirikiana kukupoteza
T Tui JF-Expert Member Joined Jun 2, 2018 Posts 5,779 Reaction score 7,770 Mar 2, 2024 #6 Gongowazi lingine limekurupuka kutoka kwenye kuvimbiwa na mihogo.Hajui kwamba hiyo ni kawaida sana kwa timu kubwa za mpira duniani.Kawekewa picha ya Saka kapotea mazima.Yakivimbiwa mihogo huwa yanakuwa addicted na Simba na kukurupuka.
Gongowazi lingine limekurupuka kutoka kwenye kuvimbiwa na mihogo.Hajui kwamba hiyo ni kawaida sana kwa timu kubwa za mpira duniani.Kawekewa picha ya Saka kapotea mazima.Yakivimbiwa mihogo huwa yanakuwa addicted na Simba na kukurupuka.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,872 Mar 2, 2024 #7 Mambo yao waachie wenyewe... Cc: Mahondaw