NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 1,001
Kama yametengenezwa Jan 2019 na yata expire Dec 2019 hapo kuna tatizo gani ndugu? Ujumbe wako kwetu ni nini hasa? Hebu fafanua zaidiHodi Wadau humu ndani.
Nimepita kwa mpika chips mmoja nikakuta anaweka mafuta ya kula kwenye chombo ya kukaangia chips, nikamuuiza kiongoz umeangalia EXPARE DATE akasema hapana, kuja kuangalia nikakuta
Prod Jan 2019
EXP December 2019 .
Hivi hawa TBs huwa hawafuatalii hizi bidhaa jaman...maana mwisho wa siku tutajaa pale Ocean Road hospital.
Ni mtazamo tu Leo sio kuharibu biashara ya mtu..no
Kwenye picha hiyo angalia maandishi madogo meupe View attachment 1009872
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaona IPO sawa Yana Exp kwanza ndio yana yengenezwaKama yametengenezwa Jan 2019 na yata expire Dec 2019 hapo kuna tatizo gani ndugu? Ujumbe wako kwetu ni nini hasa? Hebu fafanua zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hodi Wadau humu ndani.
Nimepita kwa mpika chips mmoja nikakuta anaweka mafuta ya kula kwenye chombo ya kukaangia chips, nikamuuiza kiongoz umeangalia EXPARE DATE akasema hapana, kuja kuangalia nikakuta
Prod Jan 2019
EXP December 2019 .
Hivi hawa TBs huwa hawafuatalii hizi bidhaa jaman...maana mwisho wa siku tutajaa pale Ocean Road hospital.
Ni mtazamo tu Leo sio kuharibu biashara ya mtu..no
Kwenye picha hiyo angalia maandishi madogo meupe View attachment 1009872
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona tunaona yana tengenezwa Jan 2019 halaf exp Ni Dec 2019 au we umeonaje mkuu
We jamaa una shida sana wewe, sasa hapo tatizo liko wapi? Sio lazima kuanzisha uzi kama hauna hoja ya msingi.
Na mimi ndio naona hivyo ila kuna waheshimiwa wengine wanamakengeza nafikiriMbona tunaona yana tengenezwa Jan 2019 halaf exp Ni Dec 2019 au we umeonaje mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Walimu wako alipata shida sana kukufundisha...!Hodi Wadau humu ndani.
Nimepita kwa mpika chips mmoja nikakuta anaweka mafuta ya kula kwenye chombo ya kukaangia chips, nikamuuiza kiongoz umeangalia EXPARE DATE akasema hapana, kuja kuangalia nikakuta
Prod Jan 2019
EXP December 2019 .
Hivi hawa TBs huwa hawafuatalii hizi bidhaa jaman...maana mwisho wa siku tutajaa pale Ocean Road hospital.
Ni mtazamo tu Leo sio kuharibu biashara ya mtu..no
Kwenye picha hiyo angalia maandishi madogo meupe View attachment 1009872
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nisaidie kuelewa mkuu maana ni lugha ya watu hii mzee. Labda mimi sijaelewaKitenzi kikurupushi.
Ulichokipost umekielewa kwanza ama unataka tukusaidie kuelewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee kweli January Si nzuri kabisa kwa afya ya akili.. Pole Sana tumeimaliza Leo January mkuu akili itakaa sawa tuNa mimi ndio naona hivyo ila kuna waheshimiwa wengine wanamakengeza nafikiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mafuta yametengenezwa mwezi wa kwanza mwaka huu wa 2019 na tarehe ya kuharibika ni mwezi wa 12 ya mwaka huu wa 2019Hebu nisaidie kuelewa mkuu maana ni lugha ya watu hii mzee. Labda mimi sijaelewa
Manufactur .January 2019 na
Exp ni December 2019 labda mimi naona vibaya wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app