Hii style ya Israel ni ngumu

israel ndo pekee anayejua kutoa kichapo kwa magaidi..

jana kiongozi wa hamas ambaye anaishi qatar (wajinga sana hawa wenzao wanakufa wao wapo hotelini nchi nyingine wanakula maisha) kwa mara ya kwanza kaomba majadiliano yarudiwe na cease fire nyingine (zilizopita wao ndio waliozivunja kwa kuanza kurusha rockets)...

sosi....yahoo news (wa follow facebook kwa hii habari)..
 
Unaifahamu Israeli kwa kiasi gani? Umewahi kufika Israeli walau ukaona maisha yao? Si ajabu umesoma hayo kwenye wikipedia

Nimejifunza sana kuhusu israel. Sijafika ila nimefundishwa na waisrael waliobobea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…