Hii stars!!

kishumbaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,482
Reaction score
2,038
Tukubali tu stars hatuna wachezaji!

Tuanze tu upya kuandaa misingi ya soka serious na siyo uhuni wa TFF kuchezesha maveterani na kuiita ligi ya U 20
 
Kwenye hii mada sina cha kuchangia kwa kweli, bali nimepita tu hapa kukutia moyo angalau na wewe ujione umepata mtu wa ku_comment, maana nimeona yanakalibia kutimia masaa matatu umekaa nayo pekee yako hii mada, sasa nikusanue huu ukimya unaouona hapa, watu wapo kwenye jukwaa la siasa uko na jukwaa la habari wanapanga mipango ya kuikomboa nchi yao.
 
Uko sahihi. Hata mimi kwa sasa sina muda wa kufahamu eti Yanga inacheza lini, na nani! Kwenye uwanja gani, nk. Badala yake nipo nasubiria tu kwa hamu siku ya Uhuru wa Tanganyika ifike (tarehe 9 Disemba).

Huu nadhani siyo muda sahihi hata kidogo wa kuijadili timu inayoitwa kichwa cha mwendawazimu, huku nchi ikiwa kwenye maombolezo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…