Hii sio poa kabisa...........

mansolata

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2016
Posts
502
Reaction score
319
Heshma kwenu wakuu.....

Jamani msilie lie eti hali ngumu si mmeyataka wenyewe.....
Mmewafanya wanasiasa kuamua kila kitu hata katika masuala ya kitaalam.....
...sheria?
....elimu?
....afya?
....ajira?
....miundombinu?

Siasa ikiingia kwenye nyanja za kitaalam ....kwisha habari yenu...
 
Bangi-bangili...yaani badala ya kusema nauza bangi,unaweza sema nauza bangili au shanga na ukaeleWeka.
 
wewe upo nje ya mfumo huu mkuu? maana we umejitoa kama hauusiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…