Hii sasa nomaaa

Mkuu, wewe hatari!!!! Asante kwa kunichekesha!!!!!
ila wote mikono inaenda kunywani hakuna anayelala njaa. ila kumbukeni uchagani umaskini bado ni mkubwa, pitia pale njia panda ya Himo utaona wanavyokimbilia mabasi kuuza mbogamboga namtu unashindwa kujua rangi yake alivyopauka. Tuache dharau tuheshimiane.
 

Mkuu, ni kweli dharau kamwe haikubaliki na heshima lazima iwe mbele kwa wote!!!!! Ila hapa mleta maada ametumia uhodari na ucheshi kueleza jinsi makabila hapa nchini yalivyojipanga kimaisha!!!! Hakuna dharau hapa!!!!
 
Nataka ya wasukuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…