Hii post Ajira Portal ya HELSB ina tatizo gani ?

Kapepo

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
1,063
1,188
Kuna hii Post ya loan board Ukuapply inagoma na kuandika cheki job requirements, Mimi nimesoma Bachelor of information technology with business kuna shida gani hapa je lazima usome computer science ndio uombe
IMG_2256.jpg

IMG_2255.jpg
 
Haiwezi kukubali man, yaani iyo system ni ya kiboya sana. Hakuna ubunifu wowote ni lisystem la hovyo sijawai ona
 
Hiyo system ni ya kisenge-rema sana, wakiandika qualifications inatakiwa na ww uwe nayo kama walivoandika wao hata kama zinaingiliana hawakukubali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom