Asingetumia nguvu nyingi, angetumia technology angeokoa muda na nguvu.Habari wana jf kuna hii picha nimeikuta kwenye mitandao japo ni ya kutengeneza la
lakini nimeiwazia sana huyu jamaa alikata tama akiwa kwenye hatua za mwisho kuyafikia mafanikio na hata sisi wana dam wengi hili hua linatutokea sana tue wavumilivu tutafikaView attachment 860909
Sahihi kabisa,Mvumilivu hula chochote
Ni kwelKama Uvumilivu aliyouonyesha Diwani Athumani baada ya kuteuliwa kuwa RAS BUkoba. Watu waliongea mengi, lakini yeye alivumilia kwa kukaa kimya na kuendelea na Majukumu yake aliyopangiwa na Mh. Rais.
Juzi amekula mbivu kwa kuteuliwa kuwa DG wa PCCB.
Laiti angehamia Twitter na kumpiga vijembe Mkulu na Serikali yake, sijui leo hii angelikuwa wapi.
Uvumilivu ni mmoja katika Misingi Bora kabisa maishani.