Hii picha inakufundisha nini?

Mkereketwa_Huyu....Sio tu bata hata nikisikia kisa cha hawa wanaobaka vibinti vidogo nk naona kinyaa...Lakini kama masimulizi ya Afro hayajakunyanyua mshipa na hali hii ya hewa nakushauri umuone daktari LOL..Mambo mengine ya chumbani haya....

Mkirua...ah kumbe unajuwa haya ni mambo ya chumbani. Sasa kwa nini ushikwe na mzuka kazini ama mtaani? Binafsi siwezi kushikwa na nyege za inzi kwa kusoma kitu mtandaoni hayo ni mambo ya vijana wanaobalee na kushindwa kujicontrol. Kutokana na haya maneno aliyoyasema dada yetu humu ndani ulitaka kuvua nguo kwa kushindwa kujicontrol ama? Usiwe hivyo ndugu yangu, muda wako wa kupiga miti utafika tu wala usihofu.
 
Last edited by a moderator:

Nimegundua una usingizi..Kakojoe ulale.
 
yani watu wnakukebehi wewe unatokwa tu manene kweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…