Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 599
- 206
Usijali nitatoa offerTatizo dogo, toa offer mkuu, uza nunua nyingine
Tafuta window 10 version ya kuanzia 1507, 1511 n.k zile za zamani kabla ya 2018 then apply on your PC Kama tu unatumia ya kizamani(na maanisha yenye cpu yenye uwezo mdogo).Acha tu ndio nimesha ligongomoa tena alipiga window na hs naye poor maana window ilikuwa inataka activate jamaa akaniambia itatulia tu
Kuhusu pc ni hp notebook 7th generation core i 7 RAM 8 STORAGE 500GB AMD7Tafuta window 10 version ya kuanzia 1507, 1511 n.k zile za zamani kabla ya 2018 then apply on your PC Kama tu unatumia ya kizamani(na maanisha yenye cpu yenye uwezo mdogo)...
Sasa hv ina show black screen au disk ndio kwisha habar yakeeTafuta window 10 version ya kuanzia 1507, 1511 n.k zile za zamani kabla ya 2018 then apply on your PC Kama tu unatumia ya kizamani(na maanisha yenye cpu yenye uwezo mdogo).
Kama unatumia mpya tafuta version ya 1803 +++ after 2018 n.k. Hizi zinakula CPU + RAM. So huenda umepachikiwa kitu ya aina hiyo huku pc sio ya kisasa.
Sometimes ukipiga windows kwenye pc bila uangalifu hata battery itakuwa inaisha faster so be carefully na huyo fundi wako.
Model number ni ????Kuhusu pc ni hp notebook 7th generation core i 7 RAM 8 STORAGE 500GB AMD7
Model number ni ????
Window 10 pro 64bitUmeweka windows ipi mkuu?
Ningepata model ya pc yako ningefanya determination but I'm can't conclude that problem can be caused by HDD failure, but may be in some casesSasa hv ina show black screen au disk ndio kwisha habar yakeeView attachment 1580754
Sasa hv inaonyesha kioo cheusSasa hv ina show black screen au disk ndio kwisha habar yakeeView attachment 1580754
Model si hii hapa ay 137 au cyo hii au na weza tafutia wapi hoyo model nikutumie uoneNingepata model ya pc yako ningefanya determination but I'm can't conclude that problem can be caused by HDD failure, but may be in some cases
Je nitajuaje kaka HDD imefail ??? Cha kwanza je window ikiwekwa na hajawa activated ina weza sababisha pc kuwa nzito???Ningepata model ya pc yako ningefanya determination but I'm can't conclude that problem can be caused by HDD failure, but may be in some cases
Sikuiona model yako, hata hivyo bado nina mashaka na hardware zilizomo but tungepata solution nzuri kama unge tafuta mtu karibu mwenye uwezo mzuri wa kitaalamu kwenye hayo maswala huko tanga.Model si hii hapa ay 137 au cyo hii au na weza tafutia wapi hoyo model nikutumie uone
But before ilikuwa inapiga kaz sanaaa tu yaan fresh hadi magame inaplya hadi nilikuwa najiona jembe tatzo kutaka kujua kupiga window tukanyonya window ya muhun kwenye flash then tuka ipiga kwenye hii baada ya hapo mabo yakawa ndio hivyoSikuiona model yako, hata hivyo bado nina mashaka na hardware zilizomo but tungepata solution nzuri kama unge tafuta mtu karibu mwenye uwezo mzuri wa kitaalamu kwenye hayo maswala huko tanga.
Otherwise jaribu nilichokuambia kuhusu windows pale juu, don't pay for hardware first and your specs bado hazishawishi.
Ni hayo tu.