Hii ni sodoma na gomola


Nielekeze niende nami nikajionee
 
Kawaida sana mkuu,popote tanzania n buxnexx ipo tena vijijin japo haivumi.jilind wew na waonye wanao kuzunguka kutafta njia mbadala ya maisha.
 
Umekosea kuwatangazia biashara,so ata wewe ni jipu mbele ya Bwana Mungu,subiri kutumbuliwa siku ya kiyama tu sasa maana hakuna namna.
 
Nimewacheki wasap wanalipa ile mbaya..ila sasa swali laja ww namba walikupa wenyewe au...
 
wengine wanafanya kwajili ya ugumu wa maisha waache tu tena serekali ianze kuchukua kodi kweny biashara hii
 
Hivi Malaya au changudoa hasa ni yupi? Kuna wale ambao bila kutoa mzigo watoto hawali na shule hawaendi achilia mbali migongani ya kifamilia kila Siku so inabidi atoe ili mkono uende kinywani naamanisha kodi ya meza. Ukibisha jaribu kukomaa miezi kadhaa uone. Pili kuna wale wanaotoa mzigo ili apatw simu Kali, Gari au nyumba na mengineyo mkatalie mzigo mfadhiri wako uone inakuwaje.! Tatu kuna wale wanotoa mzigo kwa ahadi ya kuishi wote ili kumpunguIa gharama za maisha kama kodi ya nyumba majukumu ya nyumbani na nk. Mnyime mchumba wako uone! Tatu wako wanaouza reja reja ili wapate pesa za kujikimu na kuendesha maisha yao ya kila siku. Kwa Wateja wanaopenda Huduma ya muda. Hawa hawahitaji kuoa wala kuchumbia anamaliza haja yake anatoa malipo yake . anaondoka hakuna hofu ya kuibiwa wala kuumizana moyo.! Maisha yanaendelea.. Nadhani pia huku huwa ni salama zaidi kwani hakuna anaemwamini mwenzie so wote watakuwa waangalifu. Wanauza na wore wananunua ila kwa style tofauti. Hawa wanauza rejareja wale wanauza jumla na bado unaweza ibiwa vilevile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…