Hiyo yaweza kuwa sio mimba dada, fanya uende hospital tu kucheck magonjwa mengine lkn hio c mimba, unaweza ukakaa ata miez miwili usiione hedhi, kutokuiona hedhi c kigezo km unamimba ni hofu ulionayo ambayo inakufanya ushindwe kuona siku zako....
Habarn jamani
Nilipima mimba kupitia njia ya kukojoa kwenye kopo halafu nikatia Colgate kidogo sasa ikabadilika Na kua Rangi ya maziwa sasa jamani hapo ndiyo sielewi kama IPO au haipo Na siskii dalili ya kubleed Na tarehe yangu ya bleed ni 9 au 10 sasa sioni dalili maana dalili hua nazipata ikifika tarehe 1 kamili