Hii ni laptop?

Hivi siku ile ulifika dar kweli kwa yule mtoto maana hivi picha duuuh
 
Hivi siku ile ulifika dar kweli kwa yule mtoto maana hivi picha duuuh
Ahahaaaaaa, mbona nilifika mkuu? Nilifika Salama tu mkuu nikafanya yangu asubuhi nikajikataa..!
 
Hahaha ya kweli haya. Huyo mnae amekutafuta au?
Hapana mkuu mie natafuta laptop so ktk kuhangaika ndio nikakutana na hiyo hapo wanasema nayo ni laptop. πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Lengo lako nini mkuu kuweka hii kitu..??
 
Mbona watoto wazuri tu ina maana wamekosa mashababi wa kuwaondolea ugumu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…