Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,073 Reaction score 34,844 Apr 7, 2015 #1 Attachments kazi kweli ipo hapo.jpg 38.1 KB · Views: 1,061
Mikemukabi Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21 Reaction score 3 Apr 7, 2015 #2 Daaaah!baba hapo lazma. Umtafute,maana hapo mm na mautundu yangu yote nmechoka hapo kaka'alafu ukute kapaki mbele ya mlango wa kutokea ndan ya nymba!nimeilike hiyo mkuu'
Daaaah!baba hapo lazma. Umtafute,maana hapo mm na mautundu yangu yote nmechoka hapo kaka'alafu ukute kapaki mbele ya mlango wa kutokea ndan ya nymba!nimeilike hiyo mkuu'
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,278 Apr 7, 2015 #3 Njia pekee hapo atafuta watu wainue sehemu ya nyuma ya gari na kuirudisha chini kwenye nafasi. Kisha unakula rivasi moja kali huyoooo!
Njia pekee hapo atafuta watu wainue sehemu ya nyuma ya gari na kuirudisha chini kwenye nafasi. Kisha unakula rivasi moja kali huyoooo!
DAKA MTUMBA JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 1,288 Reaction score 805 Apr 7, 2015 #4 Alichekecha vp huyo suka mpaka akiweka hivyo?
Transman JF-Expert Member Joined Mar 30, 2013 Posts 870 Reaction score 654 Apr 7, 2015 #5 Apo ata aje wa transpoter haitoi kwa vyovyote amtafute na ampe chake akitaka usalama.
Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,539 Reaction score 4,854 Apr 7, 2015 #6 Hatariiiii zombie.
naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,989 Reaction score 5,510 Apr 7, 2015 #7 Mwaga mboga nimwage ugali
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 54,963 Reaction score 54,075 Apr 7, 2015 #8 Endapo dreva hapatikani, lazima alete crane
A ankali JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 492 Reaction score 131 Apr 7, 2015 #9 Mmmh hapo halitoki mwinchi linahitajika hata kama atampa chake suka
N Nasolwa JF-Expert Member Joined Jun 12, 2008 Posts 1,827 Reaction score 300 Apr 9, 2015 #10 Hii Ndio dawa muafaka kwa mabosi wanaopenda kudhulumu haki za watu
K kanguse Member Joined Feb 4, 2015 Posts 42 Reaction score 8 Apr 9, 2015 #11 hapo kmbembe lazma bosi apge telo mfukon amlidhishe dereva chezea ww!!
U UKAWA2 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2014 Posts 2,182 Reaction score 1,972 Apr 9, 2015 #12 Hapo boss lazima ukae.Lakini hata huyo dereva ni noma sana,sijui hata kachomekea vipi hapo,na je akipewa chake ataweza kulichomoa hapo?
Hapo boss lazima ukae.Lakini hata huyo dereva ni noma sana,sijui hata kachomekea vipi hapo,na je akipewa chake ataweza kulichomoa hapo?
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 11,192 Reaction score 30,743 Apr 9, 2015 #13 itakuwa macho yako
Vegetarian JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 657 Reaction score 515 Apr 9, 2015 #14 Photo shop,siyo rahic..
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Apr 9, 2015 #15 Vegetarian said: Photo shop,siyo rahic.. Click to expand... Hii kama sio naijeria basi ni ghana lol!
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,298 Apr 9, 2015 #16 Hahahaaahaaa na huyo ndo kiboko wa bosi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,930 Apr 9, 2015 #17 Inawezekana kama ililetwa kwa kubebwa na forklift.
C Capt Nemo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2015 Posts 1,445 Reaction score 681 Apr 9, 2015 #18 Mwambie ani-pm nimtumie namba ya Jason Statham
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Apr 9, 2015 #19 Hilo mbona linachekechwa hadi linatoka? Afike Dau Wakaksi tupo.