Hii ni kwa wanaume wote...

Kama wale waliyopigana parking...
Haaaaaaaaaaaaaaaa [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] wale nawaangalia tu hawaujui Vyenye nilivo na mashebeduzi niliwachunia tu.
Ngoja sasa ntakavojibebisha mbele yao khakhaakhaa mpaka niwakereeee wananiona boya sio.. Ngoja nianze

Mahondaw wa Smart911
 
Hahahaha... Next Friday then we hang out together... But i have nothing to do about it... Wametafutana wenyewe... Wamepigana mwenyewe...

Nilikuwa na wasi wasi what you gonna do to them...
 
Hahahaha... Next Friday then we hang out together... But i have nothing to do about it... Wametafutana wenyewe... Wamepigana mwenyewe...

Nilikuwa na wasi wasi what you gonna do to them...
Haaaaaaaaaaaaaaaa nifanye nini Smart911 wangu ushanielekeza cha kufanya kwenye ishu zisizo na maana wamejiaibisha wenyewe tu si umeona hata rafiki ako Yulee avowambia????

Jiandae kurogwa Smart911 wangu sio kwa hiko kismart hikooo mhmmhmhmhmh

Mahondaw wa Smart911
 
Hata siyo kuwa na ki-smart mahondaw wangu...
Ni kuishi na watu vizuri, kuepuka migogoro inapelekea watu kukupenda bila hata mwenyewe kujua...

Mimi binafsi i was surprised wote hatukudhania kama wangepigana.. Coz tuliondoka...
 
Haaaaaaaaaaaaaaaa wale maduu wanakutaka leo kesho ndomana ilikua kama masihara wakapigana kweli na najua haijaishia pale..

Smart911 babaa Wee Waambie wakome kabisaaaaaa! Ntaua mtu aseee sio kucheza na kwa mali yangu..
 
Haaaaaaaaaaaaaaaa wale maduu wanakutaka leo kesho ndomana ilikua kama masihara wakapigana kweli na najua haijaishia pale..

@Smar911 babaa Wee Waambie wakome kabisaaaaaa! Ntaua mtu aseee sio kucheza na kwa mali yangu..
Yashapita lakini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…