Hii ni kwa wanaume wote...

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Posts
9,212
Reaction score
16,915
Habari..

Unakuta mwanaume amegombana na mwanamke, either mpenzi wake, rafiki yake au ndugu yake wa jinsia ya kike. Baada ya kugombana huko atakuja humu au kijiweni kwao na kutusi wanawake wote kwa pamoja kwa kosa la mtu mmoja, "wanawake wote akili zao zinafanana au wanawake wote hawana akili" are you crazy??? kati ya hao wasio na akili mama yako yupo humo?? au ndugu zako wa jinsia hiyo wapo humo??

Mimi pia nilikuwa mmoja wa kutumia hayo maneno lakini wakati huo nilikuwa bado sijitambui, ndugu zangu tuheshimu mama zetu na jinsi yao kwa ujumla
"tuishi nao kwa umakini" sikumbuki exactly hii kauli ilizingumzwa na nani, ila alitumia busara sana kufikisha ujumbe

Tuheshimu mama zetu kwa madhaifu yao
Usichukie mchezo, chukia mchezaji
mchana mwema.
 
we mfuate huyo demu pm maana unaonekana unatafuta huruma yake uonekane mwema
 
Mbona hiyo kawaida tu hata hao wanawake wako hivyo wakiachika huko wana sema wanaume wote lao moja tunapata shida sana kuwatongoza kuonyesha tuko tofauti kwahiyo kuwa mpole tu
 
Sawa lakini nao wanawake wakitendwa na mwanaume mmoja wanalaani wanaume wote duniani..

Utasikia ooh wanaume wote duniani ni mbuzi, mmoja nilimwambia vipi Baba yako umeshampeleka machungani akale majani?? Kaniblock hadi leo
 
Sawa lakini nao wanawake wakitendwa na mwanaume mmoja wanalaani wanaume wote duniani..

Utasikia ooh wanaume wote duniani ni mbuzi, mmoja nilimwambia vipi Baba yako umeshampeleka machungani akale majani?? Kaniblock hadi leo
hahahaaa kiboko
 


Taste the pain right on my tongue
Novocaine to make me numb
Don't you worry 'cause the night is young
Dance until the morning sun
Morning sun, morning sun
I am at a lose for words
Can't believe I let you pull me down to this place
You stole my heart and so
Just to think that I would dry those tears from your face
I played such a foolish game
Feeling you were everything to me anymore
I don't mean to point the blame
But baby you hurt me to my very core
You don't know why, you don't know how
You don't know when to love again
You let me in, then shut me out
You'll have to learn to love again
Learn to love again, learn to love again, learn to love again
Take me away from here
To a place where my feelings don't go waste
We were in the atmosphere
Flying high…

Kheeeeee life is so precious and beautiful!
 
Wakijitambua wataacha...waache wafurahishe mioyo yao

Sent from my TV
 
Wanawake wote ni mafala....

Wanaume wote ni wajanja, werevu, wavumilivu, wenye huruma, wenye Upendo, waaminifu, wachapa kazi, n.k......
 
Kwahiyo unataka kupambana na necha!??
 
Wanawake wote ni mafala....

Wanaume wote ni wajanja, werevu, wavumilivu, wenye huruma, wenye Upendo, waaminifu, wachapa kazi, n.k......
mama yako fala pia au mama zetu tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…