Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,939
Wabongo bana, pale zilkuwa zinatajwa t
Kibao. man city, totenham, Liverpool na arsenal ila mmeacha kujibu maswali ya mt[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]
Kipele nnMwaka wa kumi na ngapi huu mnalisikia kwa jirani tu kombe hilo? Linaenda Manchester au Chelsea nyie mpompo tu!ndo maana wahenga wakanena "kuchumbia sana sio kuoa "nimeweka tafsida hapa mwisho.
Kama MIKIA ya hapa bongo.arsenal ata sishangai mwishoni mnasua sua mbona hiyo kuongoza mwanzo wa ligi ni kawaida yenu tu
kama vyura fc[emoji196] [emoji196] wazee wa kukodishwaKama MIKIA ya hapa bongo.
Teh,