Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,628 Aug 26, 2011 #21 nyani ngabu said: lugha gongana hapo. Naomba tafsiri yake, tafwadhwali. Click to expand... either of them or neither of them or both
nyani ngabu said: lugha gongana hapo. Naomba tafsiri yake, tafwadhwali. Click to expand... either of them or neither of them or both
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,521 Reaction score 6,517 Aug 26, 2011 Thread starter #22 Tuko said: Katumia mbinu ya kizamani sana aisee. Mwambie ajiunge JF akasome zile sheria mama za infidelity... Click to expand... Sikumuuliza kama ni member hapa JF
Tuko said: Katumia mbinu ya kizamani sana aisee. Mwambie ajiunge JF akasome zile sheria mama za infidelity... Click to expand... Sikumuuliza kama ni member hapa JF
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,521 Reaction score 6,517 Aug 26, 2011 Thread starter #23 Dena Amsi said: Na wewe unawafundisha wanaume wenzio sio?! Haya washapata mbinu watutende vizuri Click to expand... Mungu wangu!, hivi naweza nikawa nimewafumbua watu kuhusu hii mbinu ya ajabu? Mniwie radhi wandugu
Dena Amsi said: Na wewe unawafundisha wanaume wenzio sio?! Haya washapata mbinu watutende vizuri Click to expand... Mungu wangu!, hivi naweza nikawa nimewafumbua watu kuhusu hii mbinu ya ajabu? Mniwie radhi wandugu
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,521 Reaction score 6,517 Aug 26, 2011 Thread starter #24 bebii said: mimi sina ndoa niko single sina mbinu yoyote ya kucheat subiri wadau.ila sidhani kama kuna mtu anafanya mambo hayo ya kishamba hapa jf Click to expand... Nimekupata, Thanks
bebii said: mimi sina ndoa niko single sina mbinu yoyote ya kucheat subiri wadau.ila sidhani kama kuna mtu anafanya mambo hayo ya kishamba hapa jf Click to expand... Nimekupata, Thanks
BPM JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,760 Reaction score 576 Aug 26, 2011 #25 ni mbinu ya ujima hiyo kwani unatakiwa utengeneze njia sahihi kwako wewe kama wewe na c kwa kupitia kwingine kwani ni rahisi kuharibu utaratibu
ni mbinu ya ujima hiyo kwani unatakiwa utengeneze njia sahihi kwako wewe kama wewe na c kwa kupitia kwingine kwani ni rahisi kuharibu utaratibu
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,485 Aug 26, 2011 #26 bebii said: mimi sina ndoa niko single sina mbinu yoyote ya kucheat subiri wadau.ila sidhani kama kuna mtu anafanya mambo hayo ya kishamba hapa jf Click to expand... yaani we mwanamke unaniudhi! Afu naona uneweka ile picha nzuri ya ukutani kama avatar!
bebii said: mimi sina ndoa niko single sina mbinu yoyote ya kucheat subiri wadau.ila sidhani kama kuna mtu anafanya mambo hayo ya kishamba hapa jf Click to expand... yaani we mwanamke unaniudhi! Afu naona uneweka ile picha nzuri ya ukutani kama avatar!
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,448 Aug 26, 2011 #27 ya kizimani sana hiyo siku huyo coordinator anaanza kumchuna na yeye ndio atajua na bado hajaanza kutoa siri kwa kila mtu
ya kizimani sana hiyo siku huyo coordinator anaanza kumchuna na yeye ndio atajua na bado hajaanza kutoa siri kwa kila mtu
Filipo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 9,347 Reaction score 5,555 Aug 26, 2011 #28 Nyani Ngabu said: Unapenda Nyani au unampenda Nyani Ngabu? Click to expand... <br /> <br /> Mswalieni mtume jamani! Shaban ilishapita na sasa ni Ramadhan! Labda msubiri Shawal!
Nyani Ngabu said: Unapenda Nyani au unampenda Nyani Ngabu? Click to expand... <br /> <br /> Mswalieni mtume jamani! Shaban ilishapita na sasa ni Ramadhan! Labda msubiri Shawal!