Wewe ndo huielewi ratiba ya UDOM, kama umezoea za Sekondari baba utajiju, Hiyo ndo Ratiba na subiri uone ya UE, ndo utachoka mwenyewe. Ka vipi we rudi zako home tu katulie
ieleweke tu ya kuwa chuo cha udom siasa ipo kila mahali siyo tu kwenye ratiba hadi pia kwenye suala zima la ajira kwa maana ya kuwa kama jina lako linasound kiislamu ni rahisi sana wewe kupata ajira hata kama vigezo havijatimia hali hii inasikitisha sana na kama itaendelea kuwa hivi itafikia hatua hata wahitimu wake wanaonekana kama wahuni tu wa kitaa kutokana na ubabaishaji unaoendelea sasa
kwa mujibu wa ulichoandika ratiba ipo ila haieleweki nakushauri urudi nyumbani chuo kitakapoanza kuitwa chuo kikuu cha Jakaya Mrisho Kikwete (ombi kutoka mwenyekiti wa ccm na wana ccm wa Dodoma) mambo yatakwenda sawa!