Hii ndo sinema ya Nazir Karamagi

abaeban,

Ni vigumu kuunganisha tuhuma juu ya Karamagi na umasikini wa Mtwara. Jaribu tena!
 

AMEN and so shall it be in Jesus name the name above all...
 
Mkuu kumekucha,acha kuota mchana kweupeeee
 
Anaenda mwaka wa pili sasa... hadi hapa tulipo amefunga wangapi?!
Kila jambo kwa wakati wake, na yeye ndiye mvaa viatu anajua wapi kiatu kina mchanga na unaumiza kiasi gani...Kuwa mvumilivu na mwenye subira ya moyo...Hilo ni tunda la roho mtakatifu!
 
Karamagi sidhani kama alikua wa kusini, lkn pia nakumbuka aliyekatwa mkono ni MudhhiriMudhhiri ambaye alikua ni Mbunge wa Mchinga amnaye pia alimiliki bendi ya Mchinga sound..kama cjakosea Karamagi ni Mhaya.
Nipo tayar kukosolewa
 
Inasemekana huna uwakika kabisa na hii story yako
 

Hakuna lolote litakalo fanyika zaidi ya hiyo KAMATI kula pesa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…