Hii ndio simu nyembamba Duniani

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425


Soon kampuni ya INFINIX Toka Tanzania itaweza kuachia simu mpya ambayo inasemeka hii ndo itakua simu nyembamba mno Duniani.

Ni simu nzuri ya kisasa yenye feature kedede ambapo ina kioo cha mkunjo yani iko very smoothly lakini kubwa zaidi kuhusu mambo yafuatayo;



✅ betri imara sio poa
✅ Android version support ya muda mrefu
✅ Skrini na fremu yake iko poa😛
✅ Inakuja ikiwa na Teknoloji ya Akili MNEMBA ya Infinix AI
✅ Processor yake yenye nguvu.

Kwenye kamera, storage usiwe na shaka unapata kitu Bora bila kusahau hii simu ni nyembamba mnoo unaweza kuweka pre oda yako Sasa ✍️.



Kumbuka TU Hii simu ni nyembamba kuliko simu mpya ya SAMSUNG Galaxy Edge 25 Endelea kufuatilia page Yetu kwa taarifa zaidi.
 
"Hii simu" bado haijapewa jina?
 
"Betri imara sio poa" huu ndo ukubwa wa betri? Kama habari haijakamilika si vema kuisambaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…